• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA WILAYA PANGANI KUTATHMINI JUU YA MATUMIZI YA B.M.U

siku ya kuwekwa : September 1st, 2019

Halmshauri ya wilaya ya Pangani imesema inafanya tathimini ili kuona kama kuna uwezekano wa kuendelea kutumia B M U katika ukusanyaji wa mapato kama hapo awali au kutumia watumishi wa Halmashauri hiyo kama wafanyavyo sasa lengo likiwa ni kupata mapato ya kuridhisha. Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Pangani Bwana ISAYA MBENJE wakati akizungumza na kituo hiki ambapo amesema watafanya tathimini baina ya B M U na watumishi wa halmshauri kujua ni nani walifanikiwa zaidi na ndipo watakapoamua nani awe mkusanyaji wa mapato ya halmashauri. 

“Tunaendelea kufanya tathimini pale tulipokuwa tunatumia BM U tulifnikiwa kiasi gani,na sasa tunatumia wataalamu wetu je kuna changamoto gani? Nini changamoto ya kutumia mawakala au kutumia watumishi baada ya hapo tutafanya majumuisho,lakini hili ni kuangalia miongozo ya serikali inatekelezwa kuongeza wingi wa ukusanyaji wa mapato ya halmshauri” 

Bwana MBENJE ameongeza kuwa kuwa mabadiliko yakijua mara baada ya taarifa ya serikali ambayo ilisema umakini umepungua katika ukusanyaji wa mapato ikiwemo mapato ya halmashauri na ndipo walipoona haja ya kutumia watumishi wa serikali kwa sasa. Kuna wakati halmashauri zilikuwa zinatumia mawakala kukusanya mapato ndipo halmashauri ya wilaya ya Pangani ilikuwa inatumia B M U kukusanya mapato lakini baadae srikali inaona hakuna umakini katika ukusanyaji wa mapato na ndipo tukaona tuanze kutumia watumishi wetu na tukaona B M U tuwasitishe kukusanya. Sheria ya Fedha ya Serikali za Mitaa Sura ya 290, ilizizipa uwezo Mamlaka za Serikali hizo kutoza na kukusanya kodi, ushuru na ada mbalimbali kama vyanzo vya mapato vya Mamlaka za Serikali za Mitaa,kabla ya sharia ya fedha iliyopita kuelekeza kuacha kutumia mawakala kutokana na kugundua kushuka kwa umakini katika ukusanyaji wa mapato hususani kwa halmshauri mbalimbali hapa nchini.

Tangazo

  • AJIRA ZA AFYA September 17, 2019
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA KATIKA HALMASHAULI YA WILAYA YA PANGANI December 18, 2020
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 TANZANIA ZIMA POFYA KWENYE LINK HIYO HAPO CHINI January 15, 2021
  • UCHAGUZI WA WAJUMBE BODI YA MAMLAKA YA MAJI PANGANI MJINI June 04, 2018
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • HALMASHAURI YA WILAYA PANGANI KUTATHMINI JUU YA MATUMIZI YA B.M.U

    September 01, 2019
  • AWESO AWEKA MSISITIZO MIRADI KULETA TIJA KWA WANANCHI

    July 28, 2019
  • MWENGE WAKEMEA VITENDO VYA RUSHWA

    July 08, 2019
  • AGIZO LA WAZIRI JAFO LATEKELEZWA KWA VITENDO WILAYANI PANGANI

    July 08, 2019
  • Angalia zote

Video

Kauli ya mkuu wa mkoa wa Tanga Mh.Martine Shigela juu ya Mustakhabali wa Barabara ya Pangani-Tanga-Saadani-Bagamoyo.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa