siku ya kuwekwa : March 14th, 2024
Tunatekeleza Ukarabati wa Hospital ya Wilaya ya Pangani, tumepokea Vifaa Tiba pomoja na Gari Mpya ya kubebea Wagonjwa.
Pangani inasema Asante Dkt Samia, Asante Rais wetu....
siku ya kuwekwa : March 13th, 2024
Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG), leo tarehe 13, Machi 2024, limetambulisha Mradi wa Suluhisho la Ujumuishwaji wa Misitu na Nishati Tanzania, Wilayani Pangani.
Hayo...