OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI (W) INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WANAOMILIKI VIWANJA NA MASHAMBA KWAMBA WANATAKIWA KULIPA KODI YA PANGO LA ARDHI KABLA YA TAREHE 30/05/2018.
ATAKAYESHINDWA KULIPA ADA KABLA YA MUDA HUO ATAPELEKWA MAHAKAMANI NA MILIKI ZAO ZITAFUTWA.