NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA MATANGAZO (PUBLIC ANNOUNCEMENT)
1. KUFIKA OFISI YA UTAMADUNI YA WILAYA YA PANGANI KUPATA MAELEKEZO YA KIASI CHA FEDHA YA MATANGAZO YANAYOENDA KUFANYIKA.
2. KWENDA KWA MHASIBU KUPATA KIBALI CHA KWENDA KULIPIA BENKI.
3. HATI YA MALIPO INARUDISHWA KWA MHASIBU WA MALIPO.
4. KUPEWA RISITI NA MHASIBU WA MALIPO.
5. KWENDA OFISI YA UTAMADUNI KUPEWA KIBALI CHA KUFANYA MATANGAZO.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa