JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
Kupata salary slip nenda kwenye link ya Tovuti muhimu halafu bonyeza Watumishi Portal ili uweze kujisajili, kama unahitaji msaada namna ya kujisajili ili kuweza kupata salary slip yako wasiliana na ofisi ya TEHAMA ili wakusaidie.
Zingatia yafuatayo:
Uwe na email address (barua pepe) kama hauna njoo utafunguliwa bila gharama yeyote
cheki namba yako utaipata kwenye salary slip yako