• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

Tehama

KITENGO CHA TEHAMA NA UHUSIANO

UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ni miongoni mwa Halmashauri zinazotekeleza muundo mpya wa Halmashauri za Wilaya ambao uliidhinishwa 08.07.2011 na Waziri Mkuu Mh Mizengo P Pinda. Kwa sasa kitengo kina watumishi watatu ambao ni Afisa habari na Afisa TEHAMA wawili (Computer). Toka kuanzishwa kwake hadi sasa kitengo hiki kimejitahidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa ili kuweza kufanikisha lengo namba 9 la Serikali ambalo ni kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Jukumu kubwa la kitengo hiki ni Kusimamia masuala yote ya Habari na Mawasiliano ya Halmashauri halikadhalika kusimamia mifumo yote ya Halmashauri. Kitengo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni:

• Habari na uhusiano

• TEHAMA

Majukumu ya Kitengo

• Kuandaa miadi ya mkurugenzi kukutana na kuongea na vyombo mbalimbali vya habari

• Kutoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari na jamii kwa masuala mbalimbali yanayohusiana na manispaa kwa kufuata maelekezo ya mkurugenzi

• Kuandaa machapisho mbalimbali kwa ajjili ya kuhabarisha jamii kuhusiana na masuala mbalimbali ya halmashauri (machapisho kama vile vipeperushi, jarida, )

• Kuandaa mkutano wa waandishi wa habari (Press Conference) baina ya mkurugenzi/mstahiki meya na waandishi wa habari.

• Kuratibu na kusimamia waandishi wa habari katika shughuli mbalimbali za Halmashauri kama vile baraza.

• Kuhakikisha Halmashauri inasajili na kutumia barua pepe za serikali (Government Mailing System) kwa ajili ya kutuma na kupokea taarifa za kiserikali.

• Kusimamia mawasiliano ya ndani na nje ya ofisi (Internal and External Communication)

• Kusimamia Mifumo yote ya Halmashauri,ifuatayo ni mifumo inayosimamiwa

• Mfumo wa Hcmis(Lawson)

• Mfumo wa Rasilimali Fedha (Epicor)

• Mfumo wa Prem

• Mfumo wa Mapato ( Lgrcis)

• Kusimamia Mashine za kieletroniki zinazokusanya Mapato(Pos Machine)

Kusimamia Matengenezo yote ya vifaa vya Tehama kwa kuhakikisha vifaa vyote vipo katika hali nzuri

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • WILAYA YA PANGANI YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE – ROBO YA TATU 2024/2025.

    May 19, 2025
  • RC BATILDA AIPONGEZA PANGANI UANDIKISHAJI WA DAFTARI AWAMU YA KWANZA NA KUTOA WITO KWA WANANCHI KUJITOKEZA AWAMU YA PILI

    May 16, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI NA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI LAANZA PANGANI

    May 16, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI

    May 14, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa