Kamati ya masuala ya uchumi ,ujenzi na Mazingira
Kamati hii itashughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo kilimo,mifugo,viwanda ,madini,Biashara aidha pia itashughulikia miundombinu na suala zima la maendeleo ya ardhi na hifadhi ya mazingira
Majukumu Maalumu ya Kamati
- Kupendkeza kwa Halmashauri mipango ya kupanua biashara na jinsi ya kukusanya mapato yatokanaayo na upanuzi huo
- Kupendekeza mipango ya matumizi ya Ardhi katika eneo la Hamshauri
- Kusimamia matumizi ya sheria ya Nguvu kazi
- Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi wa kilimo katika Halmshauri
- Kusimamia na kuhakiki miradi ya ujenzi wa masoko,minada,majosho na vituo vya mifugo
- Kushughulikia uanzishaji na uendelezaji wa vyama vya ushirika kwa mujibu wa sharia vya vyama vya ushirika
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa