Balozi wa Mazingira na Maendeleo ndg Michael Msechu leo 07 Novemba, 2024 ameungana na timu yake ya (Mama Kaja) kutembelea makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27,2024.
" Serikali za Mitaa Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa