Chama Cha Walimu Wilayani Pangani kimefanya mkutano wake mkuu ulioambatana na zoezi la uchaguzi kwaajili ya kuwapata viongozi mbalimbali watakaokiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka 5
Kikao hicho kimefanyika tarehe 26 Machi 2025, ukumbi wa seaside, Pangani.
pichani ni wajumbe mbalimbali wa mkutano huo.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa