Katibu Tawala Wilaya ya Pangani bi , Ester Gama ( wa mbele), leo tarehe 3 Julai 2025, ametembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Pangani na kukagua maendeleo ya maandalizi ya vipando na mabanda ya maonesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki, mkoani Morogoro.
Kauli mbiu ya maonesho ya Nane Nane mwaka 2025 " Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa