• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

DC GIFT ISAYA AONGOZA KIKAO CHA LISHE

siku ya kuwekwa : November 11th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Gift Isaya Msuya leo tarehe 11 Novemba, 2024, ameshiriki kikao cha Tathmini ya Mkataba wa Lishe katika ukumbi wa Halmashauri ya zamani


Mhe Gift ameipongeza timu ya Lishe ikiongozwa na Afisa Lishe Wilaya ndg Daud Mwakabanje kwa kuendelea kuifikia jamii na kuipatia elimu juu ya masuala mbalimbali ya Lishe.


Kwa upande wake Afisa Lishe Wilaya ndg Daud Mwakabanje amesema kuwa hali ya lishe katika Wilaya ya Pangani iko vizuri kwa asilimia 100.


" Tunaendelea kutoa elimu kwa jamii kupitia Maadhimisho ya siku ya Afya na Lishe, mitandao ya Kijamii pamoja na Radio Pangani fm, lengo ni kuhakikisha wananchi wanapata elimu sahihi ya lishe" Alisema.

Aidha ameongeza kuwa afua mbalimbali za lishe zimetekelezwa ikiwemo utoaji wa Elimu ya Lishe, Upimaji wa Uwiano wa Urefu na Uzito, pamoja na Afya Gulio ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha agenda ya Lishe inafika kwa kila mwananchi.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • SEA SENSE YAWAJENGEA UWEZO NA KUWEZESHA VIFAA VYA DORIA KWA BMU, WA BWENI WILAYANI PANGANI.

    June 18, 2025
  • PANGANI YAFANYA MAADHIMISHO YA SIKU YA KASA DUNIANI

    June 17, 2025
  • HALMASHAURI ZA MKOA WA TANGA ZAPONGEZWA, NA RC BATILDA KWA KUPATA HATI SAFI 2023/2024

    June 16, 2025
  • PANGANI YAFANYA KIKAO KUPOKEA NA KUJADILI TAARIFA ZA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 16, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa