• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

DC ONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI DCC

siku ya kuwekwa : February 24th, 2024

Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) Yajadili Mapendekezo ya Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mheshimiwa Zainab Abdallah, ameongoza kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC).

Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 24/02/2024 katika Ukumbi wa Zamani wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kwa ajili ya kujadili Mapendeke zo ya Rasimu ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025.

Awali akifungua kikao hicho   Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mh. Zainab Abdallah amesema kuwa  kikao hiki ni kwa ajili ya kujadili mapendekezo ya Rasimu ya Mpango na Bajeti zetu  kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, hivyo tunapaswa kupitia vizuri bajeti zetu kwa maslahi mapana ya Wilaya yetu.

Afisa Mipango wa Wilaya Ndugu, Semion Vedastus aliwasilisha Mapendekezo ya Rasimu ya Mpango na Bajeti ya Halmashauri.

Ndg Vedastus amesema kuwa kwa  Mwaka wa fedha 2024/2025 Halmashauri ya Wilaya ya Pangani inaomba kuidhinishiwa kukusanya na kutumia mapato yatokanayo na vyanzo vya ndani kiasi cha Shilingi19,552,457,000.00 ikiwa ni ongezeko la takriban 2% ya bajeti ya mwaka 2023/2024. 

Kwa Upande wake Kaimu Meneja wa RUWASA Inj. Rajabu Yahya amesema kuwa Katika mpango wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, Ruwasa, Wilaya ya Pangani imetengewa jumla ya Tsh. 2.499,960,304.10/= ambapo Fedha hizo zitawezesha kutekeleza jumla ya miradi 13, miradi 7 inaendelea na miradi 6 ni miradi mipya.

Vilevile  Meneja wa TARURA Wilaya ya Pangani Inj. Mwita N Muhochi amesema kuwa katika mwaka wa Fedha 2024/2025 TARURA Wilaya ya Pangani inapendekeza kutumia jumla ya Tshs. 2,775,000,000 kwa matengenezo ya Barabara zenye jumla ya km 92.47 na makalvati 131.

Wajumbe mbalimbali wamempongeza Mwenyekiti wa kikao hicho na kuwaomba wataalam waendelee kupanga mipango na Bajeti zinazo akisi moja kwa moja uhalisia kwa maendeleo ya Wilaya ya Pangani. 

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI.

    May 23, 2025
  • WILAYA YA PANGANI YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE – ROBO YA TATU 2024/2025.

    May 19, 2025
  • RC BATILDA AIPONGEZA PANGANI UANDIKISHAJI WA DAFTARI AWAMU YA KWANZA NA KUTOA WITO KWA WANANCHI KUJITOKEZA AWAMU YA PILI

    May 16, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI NA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI LAANZA PANGANI

    May 16, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa