Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe Gift Isaya Msuya leo tarehe 1 Machi 2025 amewaongoza wananchi wa Pangani katika zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura katika kituo cha kuandikisha wapiga kura Funguni.
" Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora"
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa