• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

DC PANGANI ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA AFYA YA MSINGI KUHUSU KAMPENI YA KITAIFA YA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA.

siku ya kuwekwa : February 14th, 2024



DC PANGANI ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA AFYA YA MSINGI  KUHUSU KAMPENI YA KITAIFA YA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA

Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Zainab Abdallah ameshiriki kikao maalumu cha Kamati ya Afya ya Msingi kuhusu kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Surua na Rubella.

Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 14 Februari 2024, katika ukumbi wa Halmashauri ya Zamani Wilayani Pangani.


Akiwasilisha taarifa ya Kampeni hiyo ya Kitaifa yenye kauli mbiu "Onyesha Upendo, Mpeleke Mtoto Akapate Chanjo"   Mratibu wa Chanjo kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya ndg Timothy Mgaya amesema kuwa ni lazima Watoto wapate chanjo hiyo ili kujikinga na Magonjwa hayo.

Ameongeza kuwa ugonjwa wa Surua unaambukizwa kwa njia ya hewa  na ameeleza dalili za ugonjwa huo ikiwemo homa ,mafua kikohozi, na macho kuwa mekundu na kutoa majimaji.


Vilevile ameelezea kuwa Rubella ni ugonjwa unaosababishwa na virus vya Rubella na ukimpata mama mjamzito unaweza kuleta madhara kwa mtoto ikiwemo mtoto wa jicho, pamoja na matatizo ya moyo.


Ameendelea kueleza kuwa kinga ya kujikinga na ugonjwa huu ni pamoja na kupata kinga ya  sindano mbili za kutibu dalili na madhara ya magonjwa hayo.


Wilaya ya Pangani inategemea kuchanja Watoto 7676 kwa Chanjo ya Surua na Rubella kuanzia tarehe 15 hadi 19 Februari 2024, na kila kituo kishapatiwa walengwa wa kuchanja chanjo ya Surua na Rubella na hutolewa bure katika kila kituo cha Afya.


Kikao hicho kimehudhuriwa na wataalam kutoka Ofisi ya Rais Tamisemi, Muwakilishi wa Ofisi ya Mganga Mkuu Mkoa  na Wakuu wa idara na Vetengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI.

    May 23, 2025
  • WILAYA YA PANGANI YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE – ROBO YA TATU 2024/2025.

    May 19, 2025
  • RC BATILDA AIPONGEZA PANGANI UANDIKISHAJI WA DAFTARI AWAMU YA KWANZA NA KUTOA WITO KWA WANANCHI KUJITOKEZA AWAMU YA PILI

    May 16, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI NA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI LAANZA PANGANI

    May 16, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa