DC Zainab Abdallah akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Pangani Mh. Akida Bahorera kulia ,walipotembelea Mabanda mbalimbali ya Wafanya Biashara ikiwa ni Tamati ya Maonyesho ya Biashara,Utalii na Uchumi wa Blue, Mapema leo Septemba 23,2023,katika viwanja vya Bomani Wilaya ya Pangani.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa