Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ndg Charles Edward Fussi mapema leo tarehe 9 Disemba 2024, Kuelekea kilele cha maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara ameungana na wananchi kushiriki zoezi la kupanda miti aina ya mikoko pembezoni mwa mto Pangani.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa