Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ndg Charles Edward Fussi akikagua bidhaa mbalimbali zilizopo katika Banda la maonesho ya Nane nane Kanda ya Mashariki leo Agosti 3, 2024, Mkoani Morogoro.
Kauli mbiu ya maonesho ya Nane Nane mwaka 2024 inasema " Chagua viongozi Bora kwa Maendeleo endelevu ya kilimo,mifugo na uvuvi
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa