• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

ELIMU YATOLEWA MAADHIMISHO SIKU YA AFYA NA LISHE KIJIJI CHA BOZA.

siku ya kuwekwa : February 13th, 2024



Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ndg Daudi Mwakabanje akiambatana na Afisa Ustawi wa Jamii ndg Kirigiti wameungana kutoa Elimu siku ya Maadhimisho ya Afya na Lishe.

Zoezi hilo limefanyika leo Tarehe 13 Februari, 2024, katika Kijiji cha Boza Wilayani Pangani ambapo Elimu mbalimbali kuhusu Lishe na Afya imetolewa.


Kwa upande wake Afisa Lishe Ndg Daudi Mwakabanje ameitaka jamii kuzingatia umuhimu wa Lishe bora ili kuondoa udumavu na utapiamlo katika jamii zetu.

"Jamii inapaswa kuelewa umuhimu wa kunyonyesha mtoto Maziwa ya Mama pekee  ndani ya kipindi cha miezi sita ya mwanzo,".


Ameongeza pia ni muhimu kwa wakina mama kuhudhuria kliniki  mapema mara baada  wanapohisi ni wajawazito.


Aidha kwa upande wake Afisa Ustawi wa Jamii Ndg Kirigiti ametoa elimu juu ya Haki na Wajibu wa Watoto katika Jamii zetu ikiwa ni pamoja na kupata Elimu, Chakula na Maladhi.


Ameongeza kuwa ni muhimu kwa Wazee kuendelea kupatiwa Elimu juu ya Vitambulisho vya kuwatambua pamoja na namna sahihi ya kushughulikia migogoro ya kifamilia.

Mambo mengine yaliofanyika katika maadhimisho hayo ni pamoja na mapishi ya mfano, kufanya tathimini ya hali ya Lishe kwa watoto chini ya miaka mitano kwa kutumia  (MUAC)  pamoja na kupima uwiano wa uzito kwa Umri.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MIKUTANO WA MWAKA WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI

    July 06, 2025
  • DAS PANGANI ATEMBELEA KUJIONEA MAENDELEO YA MAANDALIZI YA NANE NANE

    July 03, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ATEMBELEA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANE NANE

    July 02, 2025
  • TANZIA

    July 01, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa