Mkuruugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ndg Charles Edward Fussi anawatakia wananchi wote heri ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Wananchi tuendelea kulinda Amani, Umoja na Mshikamano wakati wote.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa