• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO WAKIPONGEZA KIKUNDI CHA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU.

siku ya kuwekwa : January 18th, 2024


Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango imekipongeza kikundi cha mnufaika wa Mkopo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Pangani


Hayo yamefanyika leo Januari 18, 2024 wakati wa Ziara ya Kamati ya Fedha ilipomtembelea mnufaika huyo, Sokoni Pangani


Akiongea na Wajumbe wa Kamati hiyo, mnufaika wa mkopo huo ndugu Ramadhani Mzee amesema kuwa

"Kikundi  cha ATHUMANI RAMADHANI MZEE kilifanikiwa kuomba mkopo wa Shilingi milioni tatu ( 3), kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Pangani chini ya Idara ya Maendeleo ya Jamii na kufanikiwa kupatiwa mkopo huo"


Mala baada ya kupokea fedha hizo kikundi kilinunua jumla ya Baiskeli 15 na kuanza kuzikodisha.

Ndg Mzee amesema anaishukuru Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Uongozi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, kwani hadi sasa Kikundi kimefanikiwa kurejesha Shilingi Milioni Moja na Nusu,na pia amefanikiwa kununua Viwanja na Kusomesha ndugu zake, kupitia mkopo huo.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri mhe Akida Bahorera amempongeza ndg Athumani Mzee kwa mafanikio hayo makubwa na kuendelea kutoa wito kwa Vikundi vingine kuiga mfano bora na uzalendo kama wa kikundi cha ATHUMANI RAMADHANI MZEE.


Kikundi cha ATHUMANI RAMADHANI MZEE kinajihusisha na ukodishaji wa Baiskeli na kufanya shughuli zake maeneo ya Soko kuu la Pangani.


Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI.

    May 23, 2025
  • WILAYA YA PANGANI YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE – ROBO YA TATU 2024/2025.

    May 19, 2025
  • RC BATILDA AIPONGEZA PANGANI UANDIKISHAJI WA DAFTARI AWAMU YA KWANZA NA KUTOA WITO KWA WANANCHI KUJITOKEZA AWAMU YA PILI

    May 16, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI NA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI LAANZA PANGANI

    May 16, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa