• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA LISHE WILAYA YAFANYA KIKAO CHA ROBO YA NNE CHA UTEKELEZAJI WA VIASHIRIA VYA MKATABA WA LISHE.

siku ya kuwekwa : July 24th, 2024


Pangani_ Tanga.


Kamati ya lishe Wilaya ya Pangani imefanya kikao cha utekelezaji wa Viashiria vy  Mkataba wa Lishe Robo ya Nne  Aprili hadi Juni kwa mwaka wa fedha 2023/2024 leo tarehe 24/07/2024,  katika Ukumbi wa mikutano wa  Halmashauri (Mkoma)  kikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Bw. Edward Charles Fussi.

Akiwasilisha taarifa  ya Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, Kaimu Afisa  Lishe Wilaya Bw.Ibrahim Mohamed amesema kuwa


" katika robo ya nne divisheni ya lishe kimefanya tathmini ya hali ya lishe kwa wananchi kwa kutumia kipimo cha uwiano wa uzito kwa urefu(BMI), kufanya usimamizi shirikishi shuleni, kufanya Maadhimisho ya Siku ya afya na lishe katika vijiji(SALiKi) pamoja na kushiriki katika utoaji wa huduma wa afya mseto( afya gulio)". Alisema.

Aidha kwa upande wake mkuu wa Divisheni ya elimu ya awali na msingi ndg Juma Mbwela amebainisha changamoto zinazoikabili idara hiyo ikiwa ni pamoja na uchangiaji duni wa wazazi hali inayopelekea wanafunzi wengi kupata uji badala ya chakula cha mchana.


Ndugu Juma Mbwela amesisitiza kuwa idara kwa kushirikiana na Afisa Lishe wanaendelea na hamasa kupitia vikao vya Uwawa, na kuhamasisha wadau ili kusaidia upatikanaji wa majiko ya kupikia. Aliongeza.


Kwa upande wake mkuu wa idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu bi Veronica Marwa amesisitiza kuwa agenda ya lishe izidi kupewa kipaumbele katika jamii zetu.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI.

    May 23, 2025
  • WILAYA YA PANGANI YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE – ROBO YA TATU 2024/2025.

    May 19, 2025
  • RC BATILDA AIPONGEZA PANGANI UANDIKISHAJI WA DAFTARI AWAMU YA KWANZA NA KUTOA WITO KWA WANANCHI KUJITOKEZA AWAMU YA PILI

    May 16, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI NA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI LAANZA PANGANI

    May 16, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa