• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SIASA MKOA WA TANGA YAKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI

siku ya kuwekwa : May 24th, 2024

Ziara ya Kamati ya Siasa Mkoa wa Tanga,kwenye ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Pangani.

Leo Mei 24, 2024, Kamati ya siasa mkoa wa Tanga ikiongozwa na mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Taifa (mnec) Mohamed Ratco imekagua Miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa Wilayani Pangani.

Kamati hiyo imetoa maelekezo na ushauri mbalimbali juu ya utekelezaji wa miradi hiyo ikiwa ni pamoja na usimamizi wa karibu sana wa utekelezaji wa miradi hiyo, na kuwataka wataalam kutimiza wajibu wao ili wawezeshe  ukamilishaji wa miradi  na kutoa huduma bora kwa wannchi.

Aidha Halmashauri ya Wilaya ya Pangani inamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuleta fedha za miradi mbalimbali ya maendeleo.

#panganimpya.


Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • TANGAZO LA UJIO WA MADKTARI BINGWA WA DKT SAMIA AWAMU YA PILI

    May 07, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI PANGANI LAOMBA SERIKALI UFUMBUZI KUKATIKA KWA UMEME

    April 30, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI PANGANI LAKETI KUJADILI UTENDAJI KAZI KWA ROBO YA TATU KUANZIA MWEZI JANUARI HADI MACHI 2024/2025

    April 30, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAJADIRI TAARIFA ZA UTEKELEZAJI KATA KWA KATA.

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa