• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SIASA MKOA WA TANGA,YAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

siku ya kuwekwa : November 5th, 2023

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Cde Rajab A Abdallah (Mnec), ameongoza ziara maalumu yenye lengo la kukagua Miradi ya Maendeleo Wilayani Pangani.

Ziara hiyo imefanyika Novemba 3,2023, na imehudhuliwa na Viongozi mbalimbali wa CCM mkoa na Wilaya pamoja na Wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Pangani.


Aidha katika ziara hiyo ndugu Cde Rajab Abdallah ameipongeza ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Zainab Abdallah kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo pamoja na Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani chini ya Mkurugenzi wake bwan Isaya Mbenje kwa kushiriki kikamirifu kwenye masuala ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Wilaya hii.

Kwa upande mwingine ameendelea kumpongeza mbunge wa jimbo la Pangani ambae ni Waziri wa Maji mhe Jumaa Aweso kwa kuisemea vema Pangani na kushirikiana na viongozi wake katika kuleta miradi ya maendeleo ikiwemo maji,ujenzi wa Veta,Shule,miundombinu muhimu katika Wilaya hio.


Hata hivyo mhe Rajab Abdallah ametoa rai kwa viongozi kuendelea kutatua kero mbalimbali kwa wananchi ili waweze kuwahudumia wananchi.


"Viongozi tunapaswa kuwakimbilia tunao waoongoza na sio kuwakimbia unaowaongoza", ndugu zangu tuwakimbilie tunaowaongoza.


Miradi iliyopata nafasi ya kutembelewa ni pamoja na ukarabati wa Hospitali ya Wilaya, ujenzi wa Shule Shikizi Stahabu pamoja na Soko kuu la Pangani.

#panganimpya

#hakunakilichosimama.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • TANGAZO LA UJIO WA MADKTARI BINGWA WA DKT SAMIA AWAMU YA PILI

    May 07, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI PANGANI LAOMBA SERIKALI UFUMBUZI KUKATIKA KWA UMEME

    April 30, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI PANGANI LAKETI KUJADILI UTENDAJI KAZI KWA ROBO YA TATU KUANZIA MWEZI JANUARI HADI MACHI 2024/2025

    April 30, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAJADIRI TAARIFA ZA UTEKELEZAJI KATA KWA KATA.

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa