Karibu utembelee Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki Mkoani Morogoro.
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kupitia Divisheni ya Kilimo na Mifugo inatoa elimu ya kilimo cha mazao mbalimbali na ufugaji wa kisasa.
Kauli mbiu " Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025".
Karibu utembelee ujifunze.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa