Katibu tawala wilaya ya Pangani ndg, Ester Gama, akielekeza jambo, wakati wa ufunguzi wa mdahalo kwaajili ya kujadili Mradi wa Uwajibikaji Jamii na Mamlaka Zinazohusika katika kuboresha Elimu ulioandaliwa na shirika la TREE OF HOPE ,Pangani, Jumanne Oktoba,17,2023 katika ukumbi wa Zamani wa Halmashauri.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa