• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

KONGWA DC YAFANYA ZIARA YA MAFUNZO PANGANI.

siku ya kuwekwa : December 13th, 2024

Waheshimiwa Madiwani pamoja na Watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa , leo tarehe 13 Desemba, 2024 wamefanya ziara ya mafunzo Wilayani Pangani, lengo likiwa ni kujifunza namna gani ya uzalishaji wa maziwa kwa wafugaji pamoja na kudumisha mahusiano kati ya Halmashauri hizo mbili.

Wakiwa kwenye ziara hiyo, Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa walipata fursa ya kutembelea kituo cha Ushirika wa Wafugaji wadogo wadogo wa Ngo'mbe wa Maziwa Pangani ( WAWAPA) na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo njia zinazotumiwa katika uzalishaji wa maziwa kwa wafugaji wadogo wadogo.


Akiwasilisha taarifa ya chama cha Wafugaji wadogo wadogo wa Ngo'mbe wa Maziwa Pangani, katibu wa chama hicho ndg Shamnte Said amesema kuwa _:

" Umoja huu umejikita katika ukusanyaji  na usafirishaji wa maziwa kutoka Pangani na kupeleka kiwandani Tanga, ambapo mwezi Novemba jumla ya Lita  elfu 70, zilipelekwa na kuuzwa  kiwandani Tanga, na Lita 1700 zilitumika Wilayani Pangani" alisema.

Kwa upande wake mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Mayeka S Mayeka ametoa pongezi zake kwa

uongozi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, kwa mapokezi mazuri na kushauri kuwa ufugaji unapaswa kuanzishwa na maafisa wenyewe ili kutoa fursa kwa wananchi kujifunza kwa vitendo kupitia maafisa hao.

" Mimi nimesomeshwa na Ng'ombe hivyo ni wakati wa kuongeza maarifa kidogo katika ufugaji ili na sisi tufanikiwe, tunawakaribisha sana Kongwa". Alisema.

Sambamba na hilo ,Mhe Job Ndugai mbunge wa jimbo la Kongwa, ametumia fursa hiyo  kumpongeza mbunge wa jimbo la Pangani mhe Jumaa Aweso kwa kuwa mlezi bora wa kikundi hicho.




Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI.

    May 23, 2025
  • WILAYA YA PANGANI YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE – ROBO YA TATU 2024/2025.

    May 19, 2025
  • RC BATILDA AIPONGEZA PANGANI UANDIKISHAJI WA DAFTARI AWAMU YA KWANZA NA KUTOA WITO KWA WANANCHI KUJITOKEZA AWAMU YA PILI

    May 16, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI NA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI LAANZA PANGANI

    May 16, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa