Zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura linaendelea kwenye Kata zote 14 Jimbo la Pangani vituo vyote vipo wazi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni wananchi tujitokeze kwa wingi kujiandikisha imesalia siku moja kuhitimisha zoezi hilo muhimu.
" Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa