• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA PANGANI AUNGA MKONO VIKUNDI VYA KINA MAMA

siku ya kuwekwa : July 11th, 2023

Mh. Zainab Abdallah ameendelea na ziara yake ya twende na samia kijiji kwa kijiji nakusiikiliza kero mbali mbali za wananchi.

Akiwa katika kijiji cha Mkalamo Wilayani Pangani tarehe 10.07.2023, amezungumza na kikundi cha kina mama cha Mapambano group.

Kiongozi wa Kikundi hicho amesema kuwa"kikundi cha Mapambano group tunaishukuru halmashauri ya wilaya ya Pangani kwa mkopo wa shilingi milioni 5,158,000, waliotupa mwaka 2021, mkopo huo umetubadirishia maisha na mpaka sasa tupo kwenye hatua nzuri za marejesho".

Afisa maendeleo ya jamii Wilaya Bi. Sekela Mwalukasa amewapongeza wanakikundi hao na kusema kuwa "kikundi hiki kinafanya vizuri sana kurejesha mkopo wao kwa wakati".

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Pangani ameungana na Mhe. Mbunge wa Pangani Juma Aweso na kutoa jumla ya shilingi milioni moja kuunga mkono juhudi za kikundi hicho, na kutoa wito kwa wananchi kujisajiri na kujiunga na vikundi mbali mbali kwa maendeleo ya wanapangani.

Mapambano group ni kukundi kilichojikita kwenye biashara ya uuzaji  wa chakula na wameeleza mafanikio ya mkopo huo ikiwa ni pamoja na kumiliki viwanja na kusomesha watoto wao.

#twendenasamia

#kijijkwakijiji

#panganimpya

#kaziiendelee

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • DC PANGANI AKETI NA WAFUGAJI KUJADILI NA KUTATUA MIGOGORO YAO

    June 30, 2025
  • TANGAZO

    June 29, 2025
  • KAMPENI YA USAFI WA KILA MWISHO WA MWEZI

    June 27, 2025
  • PANGANI YAPOKEA CHANJO

    June 26, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa