Mradi wa Ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto, liliopo kata ya Madanga Wilayani Pangani,ukijumuisha Chumba cha Upasuaji, pamoja na Chumba cha Kufulia, katika Kituo cha Afya Madanga, lipo katika hatua nzuri ya Umaliziaji ili lianze kutoa huduma
Mradi huo umegharimu kiashi cha jumla ya Shilingi Milioni Mia Mbili na Hamsini (250,000,000), Fedha Kutoka Serikali Kuu, Zilizotumika katika utekelezaji wa Mradi huu.
Mradi wa kituo hiki cha Afya kitakuwa ni Msaada mkubwa kwa Wakazi wa Madanga na maeneo jirani, katika Wilaya hii ya Pangani.
#panganimpya
#hakunakilichosimama
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa