• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MWAMBAO YAJADILI MAFANIKIO YA MRADI WA ECOFISH PANGANI

siku ya kuwekwa : August 29th, 2024

MWAMBAO YAJADILI MAFANIKIO YA MRADI WA ECOFISH, PANGANI.

Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Mwambao Coastal Community Network Tanzania, imekutana na Wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, kujadili mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa ECOFISH.


Hayo yamefanyika leo Agosti 29,2024, katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani.


Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mradi huo ndg Tumaini Jackson afisa muhifadhi shirikishi amesema kuwa mradi huu ulianza kutekelezwa katika eneo la usimamizi wa pamoja wa USTASAKI CFM iliyoko Wilaya ya Pangani.

"Pangani ni eneo muhimu la kiikolojia linalojulikana kwa wingi wa viumbe hai na umuhimu wake katika kuendeleza maisha ya wanajamii kwani lipo katika chaneli ya ( PECA).

Amebainisha kuwa mradi huu ulijumuisha Vijiji vinne vya Usimamizi (BMUs) vilivyonufaika na mradi huu ambavyo ni Sange, Stahabu, Kipumbwi, na Ushongo na kueleza umuhimu wa BMU hizo ikiwa ni pamoja na usimamizi endelevu wa rasilimali za baharini na pwani katika eneo hilo.


Sambamba na hilo ndg Tumaini amebainisha mafanikio ya mradi huo ikiwemo kutoa mafunzo kwa jamii, utambulisho wa minyororo ya soko, utoaji wa mikopo ijulikanayo kama MKUBA, Ujenzi wa Matumbawe bandia ambapo hadi sasa jumla ya matumbawe 99 bandia yamejengwa katika kijiji cha Ushongo kwaajili ya kuendelea kuhifadhi Bayoanuwai.


Mradi huu umeleta matokeo chanya kwa jamii ikiwemo ushiriki wa wanawake, kuimarika kwa usimamizi, mikopo ya Mkuba.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MIKUTANO WA MWAKA WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI

    July 06, 2025
  • DAS PANGANI ATEMBELEA KUJIONEA MAENDELEO YA MAANDALIZI YA NANE NANE

    July 03, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ATEMBELEA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANE NANE

    July 02, 2025
  • TANZIA

    July 01, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa