Juni 06, 2025.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian, amepokea Mwenge wa Uhuru 2025 pamoja na viongozi wakimbiza Mwenge kitaifa, kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila, tayari kwa kuanza kwa mbio hizo katika Mkoa wa Tanga, ambapo utapita katika Halmashauri zote 11 za mkoa wa Tanga.
Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Wilaya ya Pangani Juni 14, 2025.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa