• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TANGA NA MBUNGE JUMAA AWESO WACHANGIA UJENZI ZAHANATI YA MWEMBENI WILAYANI PANGANI.

siku ya kuwekwa : January 25th, 2024

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga cde Rajab Abdurrahman Pamoja na Mbunge wa Jimbo la Pangani ambae pia ni Waziri wa Maji mhe Jumaa Aweso wamechangia ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Mwembeni kilichopo Wilayani Pangani

Hayo yamefanyika wakati wa ziara ya Kamati ya Siasa mkoa wa Tanga kukagua miradi ya maendeleo ambapo Mwenyekiti wa CCm mkoa wa Tanga amechangia jumla ya Shilingi Milioni 10 kwaajili ya ujenzi wa Zahanati hiyo.


Akipokea fedha hizo Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Zainab Abdallah amesema kuwa

" kipekee naishukuru kamati ya Siasa Mkoa wa Tanga chini ya Mwenyekiti wake Cde Rajab Abdurrahman  kwa kuchangia fedha hizi kwaajili ya ujenzi wa Zahanati hii, lakini pia namshukuru mbunge wa jimbo la Pangani ambae pia ni Waziri wa Maji mhe Jumaa Aweso kwa kuchangia jumla ya tofali elfu mbili (2 ) pamoja na mifuko 100 ya saruji,ili kuhakikisha Zahanati hiyo inajengwa.



Aidha amewapongeza viongozi wote kwa kuunga mkono juhudi za uchangiaji wa ujenzi wa  Zahanati hiyo na kuahidi kuwa Serikali itasimamia ujenzi huo na kuhakikisha unakamilika kwa ubora uliokusudiwa ili kuweza kutoa huduma kwa wananchi.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MIKUTANO WA MWAKA WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI

    July 06, 2025
  • DAS PANGANI ATEMBELEA KUJIONEA MAENDELEO YA MAANDALIZI YA NANE NANE

    July 03, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ATEMBELEA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANE NANE

    July 02, 2025
  • TANZIA

    July 01, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa