Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani mhe Akida Bahorera akifuatilia kwa makini maelezo yaliowasilishwa na Mratibu wa Chanjo ya Surua na Rubella ndg Timothy Mgaya mapema leo Februari 14, 2024 katika ukumbi wa Zamani wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani.
Ambapo amewataka Waheshimiwa Madiwani kushiriki kikamilifu katika kuhakikisha zoezi hilo la utoaji chanjo unafanyika kwa wakati.
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa