• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

UZIKWASA YATOA MAFUNZO YA MGUSO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI

siku ya kuwekwa : August 3rd, 2023

Shirika lisilo la kiserikali Wilayani Pangani la UZIKWASA limekutana na kutoa mafunzo kwa watumishi wa kada mbalimbali.

Mafunzo hayo yametolewa leo Agosti 2, 2023, katika Ofisi za Shirika la UZIKWASA zilizopo katika kijiji cha Boza wilayani Pangani Mkoani Tanga.

Akiongea mala baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo  ya siku 3, Mkurugenzi wa Uzikwasa Bwan. Novatus Urasa  amesema kuwa tunawashukuru watumishi kwa kuitikia wito wa kuhudhuria mafunzo haya, yenye tija kwetu sisi kama sehemu ya jamii, mafunzo haya tutayapa jina la Uongozi Mguso hivyo wawezeshaji wetu wataeleza kiundani zaidi juu ya maana halisi ya uongozi mguso hasa katika jamii zetu.


Hata hivyo kwa upande wake muwezeshaji Bwana  Edward Sagut amesema kuwa lengo kuu la mafunzo ya uzikwasa ni pamoja na kuileta jamii karibu zaidi, kutatua baadhi ya changamoto zinazoikaikabili jamii yetu pamoja na kushiriki kikamilifu katika kutimiza wajibu wetu sisi kama watumishi katika jamii zetu.

Halima Ngoma mtumishi kada ya Afya kwa upande wake amesema kuwa nimepata elimu kubwa kupitia taasisi hii kwani imekuwa ni funguo kwangu imenijengea  uwezo wa kifikra na kujituma zaidi kwenye majukumu yangu ya kila siku.

Uzikwasa imekuwa ikitoa Mafunzo Mguso ya kuwezeshana katika uongozi na mbinu wezeshi katika kuwahudumia wananchi na kukabiliana na changamoto hususani ukatili wa kijinsia na mabadiliko ya tabia nchi, ili kuleta usawa, haki na maendeleo endelevu.

                                                                                                                                               

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI.

    May 23, 2025
  • WILAYA YA PANGANI YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE – ROBO YA TATU 2024/2025.

    May 19, 2025
  • RC BATILDA AIPONGEZA PANGANI UANDIKISHAJI WA DAFTARI AWAMU YA KWANZA NA KUTOA WITO KWA WANANCHI KUJITOKEZA AWAMU YA PILI

    May 16, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI NA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI LAANZA PANGANI

    May 16, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa