• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

UZINDUZI WA PROGRAM JUMUISHI YA TAIFA YA MALEZI, MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO (PJT-MMMAM) WILAYA YA PANGANI.

siku ya kuwekwa : January 19th, 2024


Halmashauri ya Wilaya ya Pangani leo Januari 19,2024,imezindua program Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, katika ukumbi wa Halmashauri.


Akifungua kikao hicho cha Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi, Kaimu  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ndg Veronica Marwa amewakaribisha wawezeshaji na kuwataka Wakuu wa Idara na Vitengo, Maafisa Lishe pamoja na maafisa Ustawi Jamii walioshiriki kuwa maborozi wazuri katika Jamii juu ya utekelezaji wa program hii.

"Wataalamu wenzangu nichukue fursa hii kuwakumbusha kuwa program hii ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto imeshazinduliwa katika ngazi ya Kitaifa,kimkoa na sasa ni zamu ya Wilaya, na sisi tuko tayari kuipokea rasmi na kuanza utekelezaji".


Akiwasilisha mada ya Sayansi ya Makuzi na Maendeleo ya Awali kwa mtoto ndug Regis Temba Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la  UHTC amesema kuwa -:

"Programu hii inalenga kutoa huduma Jumuishi kwa Watoto katika maeneo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na afya bora, lishe, ujifunzaji  wa awali, malezi ya mwitikio, pamoja na ulinzi na usalama kwa watoto wenye umri wa miaka sifuri hadi nane (0-8)."


Kwa upande wake ndg Mmasa  amesema kuwa dhamira ya Serikali ni kuwekeza ipasavyo katika eneo la Lishe, Afya, malezi yenye mwitikio, pamoja na Kuimarisha ushirikiano na wadau wote.

"Muongozo huu una sura tisa ambazo zinahusisha mikataba ya Kitaifa na Kimataifa pamoja na Matokeo yanayotarajiwa katika kutekeleza mkakati huu muhimu,Gharama, Utawala na Usimamizi.


Programu hii ni juhudi muhimu za kuimarisha huduma za kijamii kwa watoto katika Wilaya ya Pangani na inalenga kuhakikisha kuwa watoto wanapata fursa bora za makuzi na malezi, pamoja na ulinzi dhidi ya hatari zozote zinazoweza kuwakabili.

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MIKUTANO WA MWAKA WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI

    July 06, 2025
  • DAS PANGANI ATEMBELEA KUJIONEA MAENDELEO YA MAANDALIZI YA NANE NANE

    July 03, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ATEMBELEA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANE NANE

    July 02, 2025
  • TANZIA

    July 01, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa