• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Pangani District Council
Pangani District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha Uchumi na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • kilimo Umwagiliaji na ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya jamii na vijana
      • Ujenzi
      • Enviroment and Sanitation
    • vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia Habari na Mawasiliano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Beekeeping
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Uvuvi na Hifadhi ya Bahari
    • Biashara na Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Huduma za kijamii
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmshauri
      • Kamati ya fedha ,mipango na uongozi
      • Kamati ya Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya uchumi ujenzi na mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Repoti Mbalimbali
    • Mwongozo
    • fomu mbalimbali
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa umma
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya Picha

VYAMA VYA SIASA PANGANI VYAUNGANA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE ORODHA YA WAPIGA KURA

siku ya kuwekwa : October 15th, 2024

Vyama mbalimbali vya siasa Pangani vyaungana kuhamasisha wananchi wa Wilaya hiyo kujitokeza na kujiandikisha kwenye orodha ya Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa 2024.


Hayo yamebainishwa leo Oktoba 15, 2024 wakati wa kikao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ( Mkoma) ambapo kiliwakutanisha Viongozi mbalimbali wa vyama vyote vya siasa wilayani Pangani.

" Tutapita kijiji cha Mwera, Mkalamo, Mkwaja, Kipumbwi, Mikinguni, Madanga, Ubangaa, Tungamaa, Ushongo, Bweni, kutoa hamasa kwa wananchi wote, tutawaeleza umuhimu wa tukio hili lenye manufaa kwa Taifa kwa ujumla". Alisema Mwenyekiti wa Vyama vya upinzani ndg Diblo

Ikumbukwe kuwa zimesalia siku 5 kuhitimisha zoezi hili la Kujiandikisha kwenye orodha ya Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa, hivyo Viongozi hao wametoa rai kwa wananchi kuendelea kujitokeza kwa wingi.

" Serikali za Mitaa Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi".

Tangazo

  • MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI May 10, 2023
  • MPYA: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • MPYA: ORODHA YA WATAKAOENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO September 09, 2023
  • Angalia zote

Habari za Sasa

  • MIKUTANO WA MWAKA WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI

    July 06, 2025
  • DAS PANGANI ATEMBELEA KUJIONEA MAENDELEO YA MAANDALIZI YA NANE NANE

    July 03, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA ATEMBELEA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANE NANE

    July 02, 2025
  • TANZIA

    July 01, 2025
  • Angalia zote

Video

ujenzi wa barabara ya Tanga pangani
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Mwongozo wa Tehama
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri
  • Miongozo mbalimbali

Kurasa za mfanano

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Miongozo mbali mbali
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Pangani District Council

    Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga

    Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058

    Namba ya simu: 0658100588/062289307

    Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz

Mawasiliano Mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa