Habari Picha
Matukio mbalimbali ya wageni wanaotembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kwaajili ya kupata elimu kuhusu kilimo,migugo pamoja na Uvuvi mapema leo Agosti 5, 2024 Mkoani Morogoro kwenye maonesho ya nanenane kanda ya Mashariki
Kauli mbiu: " chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa Kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo Mifugo na Uvuvi".
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa