Yaliyojili Mwaka 2025, Halmashauri ya Wilaya ya Pangani kwa kuanza na Sekta ya Elimu

Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Muhembo, ujenzi wa nyumba ya mwalimu (2-in-1) – Kata ya Mkalamo Uboreshaji wa madara kwa Shule za Msingi na Sekondari,lengo ni kuboresha mazingira ya kazi kwa
walimu na kuongeza motisha ya utoaji wa elimu.
Tunasikiliza
#TunajengaMustakabaliMpyaWaMatumaini
#TunasongaMbeleKwaUmoja
Pangani District Council
Sanduku la Posta: 89 Pangani -Tanga
Namba ya Mezani: +255 (0) 27 2630058
Namba ya simu: 0658100588/062289307
Barua Pepe : ded@panganidc.go.tz
Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya Pangani .Haki Zote Zimehifadhiwa