siku ya kuwekwa : May 23rd, 2024
Huduma ya Madaktari bingwa wa Mama Samia Wilayani Pangani bado inaendelea, karibu katika Hospitali ya Wilaya ya Pangani upatiwe huduma bora
Huduma wanazoendelea kutoa ni pamoja na huduma ya Afy...
siku ya kuwekwa : May 21st, 2024
Timu ya Madaktari bingwa wabobezi wa Dkt Samia Suluhu Hassan wakiendelea na utoaji wa huduma za afya katika hospitali ya Wilaya ya Pangangi,mapema leo Tarehe 21 Mei, 2024.
Madaktari hao watatoa...
siku ya kuwekwa : May 18th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Mussa Kilakala leo tarehe 18 Mei, 2024 ameongoza kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe katika ukumbi wa zamani wa Halmashauri.
Akiwasilisha ta...