siku ya kuwekwa : May 18th, 2024
Hospitali ya Wilaya ya Pangani itapokea seti ya madaktari bingwa ambao ni;
1. Daktari bingwa wa magonjwa ya *wanawake na ukunga*(Obstetrician and Gynaecologist)
2. Daktari bingwa/bobezi wa...
siku ya kuwekwa : May 17th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Mussa Kilakala akitoa salamu za Serikali, mapema leo Mei, 17,2024 wakati wa mkutano wa baraza la Madiwani katika kipindi cha robo ya Tatu kuanzia mwezi Januari h...
siku ya kuwekwa : May 17th, 2024
Baraza la Waheshimiwa Madiwani robo ya Tatu kuanzia mwezi Januari hadi Machi 2023/2024 limeketi leo tarehe 17 Mei 2024 , katika ukumbi wa zamani wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani.
Sambamba na...