siku ya kuwekwa : April 13th, 2024
KARIBU MWENGE WA UHURU WILAYA YA PANGANI APRILI 16, 2024
Kauli Mbiu: "Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu" wa Ujenzi wa Taifa Endelevu"...
siku ya kuwekwa : April 11th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Mussa Kilakala amezindua kampeni ya "Soma na Mti" ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa maelekezo ya Serikali kuhakikisha kila Halmashauri inapanda miti isiyopungua 1,500,000...