siku ya kuwekwa : March 20th, 2024
Asante Mhe Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Maendeleo makubwa uliyoyafanya Wilayani Pangani kwa kipindi cha miaka mitatu ( 3) ya uongozi wako.
Pangani inashukuru ...
siku ya kuwekwa : March 19th, 2024
Hongera Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha Miaka Mitatu ya uongozi wako, Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Pangani inaendelea kushuhudia mafanikio ma...
siku ya kuwekwa : March 18th, 2024
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Zainab Abdallah akikabidhi nyaraka za ofisi kwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani mhe Mussa Kilakala wakati wa makabidhiano ya ofisi mapema leo Machi 18,2024....