siku ya kuwekwa : January 25th, 2024
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga cde Rajab Abdurrahman Pamoja na Mbunge wa Jimbo la Pangani ambae pia ni Waziri wa Maji mhe Jumaa Aweso wamechangia ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Mwembeni kilicho...
siku ya kuwekwa : January 19th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani leo Januari 19,2024,imezindua program Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, katika ukumbi wa Halmashauri.
Akifungua ...
siku ya kuwekwa : January 18th, 2024
Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango imekipongeza kikundi cha mnufaika wa Mkopo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Pangani
Hayo yamefanyika leo Januari 18, 2024 wakati wa Ziara ya Kama...