siku ya kuwekwa : May 12th, 2025
uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili mchakato utaanza tarehe 16-22 mei 2025 katika Kata zote.
kauli mbiu '' Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora'....
siku ya kuwekwa : May 7th, 2025
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani anapenda kuwatangazia wanachi wote kuwa kutakuwa na madaktari bingwa wa dkt Samia hospitali ya Wilaya...