siku ya kuwekwa : January 13th, 2024
Wananchi wa Kijiji cha Pangani Mashariki wameshiriki Msaragambo wa Ujenzi wa Bweni la Wanafunzi Wenye mahitaji Maalumu katika Shule ya Msingi Funguni.
Msalagambo huo umefanyika leo Januari...
siku ya kuwekwa : January 11th, 2024
Ofisi ya Udhibiti Ubora wa Shule na Idara ya Elimu Msingi, Wilaya ya Pangani, wametoa mafunzo wezeshi juu ya Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu kwa Shule za Awali na Msingi.
Moja ya Ma...