siku ya kuwekwa : October 7th, 2023
Uzinduzi wa Pangani Investment Forum 2023 kwa udhamini wa Swahili International Tourism Expo @officialsitetz
Tukio lote litakuwa mubashara kuanzia saa 12:30 jioni @cloudstv
#Tukutane...
siku ya kuwekwa : October 6th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, imepata nafasi ya kipekee ya kushiriki katika Maonyesho Makubwa ya Swahili International Tourism Expo 2023, Katika ukumbi wa Mliman City Jijini Dar es Salaam...
siku ya kuwekwa : October 4th, 2023
Pangani_Tanga.
"Tunaomba mtusadie kufikisha Salamu zetu kwa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri na kubwa anayoifanya hata katika kuiletea miradi mbalimbali ya maend...