siku ya kuwekwa : October 10th, 2023
Mhe Hemed Suleiman Abdulla, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amefurahishwa na Mapokezi mazuri yaliyofanywa na Uongozi mzima wa Serikali ya Pangani.
Mhe Hemed ambae pia ni Mlezi ...
siku ya kuwekwa : October 7th, 2023
Uzinduzi wa Pangani Investment Forum 2023 kwa udhamini wa Swahili International Tourism Expo @officialsitetz
Tukio lote litakuwa mubashara kuanzia saa 12:30 jioni @cloudstv
#Tukutane...
siku ya kuwekwa : October 6th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, imepata nafasi ya kipekee ya kushiriki katika Maonyesho Makubwa ya Swahili International Tourism Expo 2023, Katika ukumbi wa Mliman City Jijini Dar es Salaam...