siku ya kuwekwa : February 22nd, 2025
ORODHA YA WALIOFAULU USAILI WA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKIORODHA YA WALIOFAULU USAILI WA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA VIFAA VYA BAYOMETRIKI.pdf...
siku ya kuwekwa : February 22nd, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani inatarajia kuanza rasmi zoezi la Uboreshaji wa daftari la Kudumu la Wapiga kura ifikapo tarehe 01 Machi 2025 litakalodumu kwa muda wa siku 7, hadi tarehe 07 Machi 2022...