siku ya kuwekwa : December 6th, 2024
WATUMISHI wafanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Wilaya, Pangani.
Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ndug Daud Mwakabanje ameongoza zoezi la Usafi katika Hospita...
siku ya kuwekwa : December 5th, 2024
MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA.
Pangani -Tanga
Leo tarehe 5 .12.2024 Mhe,Juliana kibonde mkurugenzi Idara ya maendeleo ya jinsia kutoka wizara ya maendel...