siku ya kuwekwa : July 20th, 2023
Ujenzi wa Jengo la Mama, Baba na Mtoto zahanati ya kimang'a wilayani Pangani umekamilika.Akipokea taarifa hio 17 Julai 2023 mkuu wa wilaya ya Pangani Mh. Zainab Abdallah akiwa na timu yake ya ul...
siku ya kuwekwa : July 17th, 2023
Wakazi wa kijiji cha Mseko kata ya Ubangaa wilayani Pangani, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia fedha za ujenzi wa vyumba viwili vya darasa vya shule shikizi Mseko.
Wakitoa salamu ...
siku ya kuwekwa : July 13th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe. Zainab Abdallah , Julai 12, 2023, amefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa mawili katika shule ya msingi mkalamo kupitia fedha za Mradi wa Uboreshaji u...